1 Chronicles 29:15

15 aSisi ni wageni na wapitaji machoni pako, kama walivyokuwa baba zetu wote. Siku zetu duniani ni kama kivuli, bila tumaini.
Copyright information for SwhKC